Mwakyembe Mgeni Rasmi Mechi ya Yanga vs Township Rollers

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwakyembe Mgeni Rasmi Mechi ya Yanga vs Township Rollers
Klabu ya Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara kupitia msemaji wake Dismas Ten imemtangaza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wao leo dhidi ya Township Rollers FC ya Botswa.


Taarifa ya Dismas imeeleza kuwa Waziri Mwakyembe ndiye ataongoza maelfu ya mashabiki wa soka nchini watakaojitokeza kwenye uwanja wa Taifa kushuhudia mtanange huo.

"Kwenye mchezo wa leo wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Township Rollers FC toka Botswa mgeni rasmi atakuwa Mhe. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe", imeeleza taarifa hiyo.

Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa majira ya saa 10:00 alasiri kwa saa za Afrika Mashariki  na kati katika dimba la Taifa na baada ya wiki moja timu ya Yanga itaradhimika kusafiri kwenda nchini Botswana kwa ajili ya mechi ya marudiano.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad