13 Mar 2018

Ndoa ya Shilole na Uchebe Matatani..Uchebe Afuata Nyayo za Zari Kwa Kupost Ua Jiusi


Kupitia Ukurasa wa Instagram @uchebe1 apost Ua Jeusi kuashiria Hakuna Usalama wa Ndoa Yao.. Sambamba na Hilo Kumekuwa na Maneno /Rumors za hapa Na pale Kuwa wameachana... Vyanzo vyetu vinaendelea kuchimba Kuhusu Ndoa Hii... Kama ipo au Ishakufa.


Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger