AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Winnie Mandela, ambaye ni mke wa zamani wa Rais wa Afrika Kusini, Nelson Mandela amefariki leo akiwa na umri wa miaka 81
Mungu ametoa na Mungu ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe...R.I.P Mkombozi wa Africa!
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Habari za kuhuzunisha. Pole nyingi kwa familia, ndugu, jamaa, narafiki, na wana Africa wote was a lending, na wapenda haki na usawa pooote ulimwengu. Alikuwa kiungo muhimu wakati wa harakati za ukombozi wa Africa ya kushinikiza. Atakumbukwa daima maana ni vigumu kuielezea historia ya Africa ya kusini bila kumtaja bibi Nomzamo Winnie Madikizela Mandela
ReplyDeleteAnonymous 19:41
ReplyDeleteManeno ya kiingereza yaliingia kwenye comments kwa bahati mbaya. Naomba uyapuuze kwani hayana ujumbe unaoeleweka. Kumradhi kwa kila usumbufu unaoweza tokea