Hiki Hapa Kikosi cha Yanga Dhidi ya Singida United

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hiki Hapa Kikosi cha Yanga Dhidi ya Singida United
Klabu ya Yanga imetangaza kikosi chake kitakacho shuka uwanja wa taifa hii leo kucheza na Singida United mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara bila kumtaja kocha wao Mkuu, George Lwandamina kama ilivyozoeleka wakati wanapotoa majina ya wachezaji.

Wakati Yanga SC ikiwa na kibarua kizito cha kuikabili Singida United ili kujihakikishia inapunguza gepu la pointi na hasimu wao Simba SC timu hiyo inatarajiwa kuonekana pasipio kocha wao Lwandamina ambaye inasemekana amerudi kwao Zambia na kujiunga na klabu yake ya zamani ya Zesco United.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad