AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
“Ilikoanzia imeanzia kwa Jerry Muro ndiye kasambaza hizi habari, kitu ambacho nakijibu hapa amekianzisha Jerry Muro, sasa mimi nasema kama huyo mtu yupo, nimetoa namba zangu na kama sipatikani aje hapa Bungeni”, amesema Peter Msigwa.
Hapo jana Peter Msigwa ameandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa facebook akisema kwamba iwapo kweli mwanamke huyo yupo na akithibitisha ni kweli amemtelekeza, basi yupo tayari kujiuzulu ubunge wake alionao.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Ujiuzulu ubunge ili iweje. acha ujinga bhana mwambie aje tuu tutamhudumia
ReplyDeleteKm ikithibitika, badala ya kuresign, si ndo umhudumie mwanao, na ubunge utakusaidia kuongeza uwezo kifedha ili kutoa huduma bora kwa mwanao. Hakuna binadamu aziyekosa
ReplyDelete