AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Iliripotiwa kuwa ajali mbaya ya barabani iliyotokea jumapili asubuhi mkoani Preah Sihanouk, kusini magharibi mwa Cambodia na kusababisha majeruhi ya mwana wa mfalme wa nchi hiyo Norodon Ranariddh na kifo cha mkewe Ouk ni “ajali ya kawaida”.
Kaimu Mkuu wa Polisi nchini humo Him Yan amemlaumu dereva wa taxi Mil Saret kwa kusababisha ajali hiyo mbaya, na kwamba dereva huyo amefunguliwa mashtaka ya uendeshaji mbaya na kusababisha kifo.
Amesema ajali hiyo imetokea kwa kuwa dereva aliendesha kwa kasi na kujaribu kupita gari nyingine, na kugongana uso kwa uso na gari ya mwana mfalme.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK