Trump Afanyiwa Sherehe Kubwa ya Siku Yake ya Kuzaliwa Singapore

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Trump Afanyiwa  Sherehe Kubwa ya Siku Yake ya Kuzaliwa Singapore
Maofisa wa Singapore wamemstukiza Rais wa Marekani  Donald Trump kwa kumfanyia sherehe ya siku yake ya kuzaliwa.

Maofisa hao walimstukiza kwa kumletea keki wakati wa chakula cha mchana nchini humo.

Rais huyo mwenye vituko ametimiza miaka 72 amefanyiwa sherehe hiyo huku akiwa hajui kinachoendelea ghafla alistuka tu anaimbiwa wimbo wa ‘happy birthday’ na maofisa hao.



“Sherehekea siku yako ya kuzaliwa ” aliweka kwenye mtandao wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Singapore Vivian Balakrishnan, muda mfupi baada ya tukio hilo akimpomgeza Trump
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad