Aslay Apiga Show Ukumbi Ukiwa Mtupu London

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Aslay Apiga Show Ukumbi Ukiwa Mtupu London
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Aslay Isihaka amejikuta akipatwa na fedheha baada ya shoo yake aliyopiga nchini Uingereza kukosa mashabiki.

Aslay ambaye alisafiri kwenda nchini Uingereza mwezi uliopita mwishoni ambapo alienda kupiga shoo yake.

Kupitia ukurasa  wake wa Instagram Aslay aliitangaza shoo hiyo kwa kuweka picha hii:

Kwa kuwa Aslay ni mmoja kati ya mastaa ambao wanafanya vizuri sana Kwenye Bongo fleva alitegemewa kupata mapokezi makubwa nchini humo Lakini cha kushangaza ni shoo viti aliyoipiga.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad