AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola amekuja na staili mpya ya kichungaji kumsifia Rais Magufuli kwa utendaji uliotukuka huku akimhakikishia ataendelea kupambana na mafisadi yote yanayokula fedha za umma.
Lugola amefunguka hayo Leo Septemba 10, 2018 wakati Rais Magufuli akizindua ujenzi wa Daraja la mto Sibiti linalounganisha mkoa wa Simiyu na Singida.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK