9/18/2018

Mange Kimambi Afichua Ugonjwa wa Dogo Janja, ni Stress za Kuachawa na Irene


Kama ilivyokuwa kawaida yake ni kuweka wazi yale ambayo yanakuwa chini ya kapeti na sasa mwanadada ambae almekuwa akitoa siri za watu wengi nchini ikiwa yeye mwenyewe hakiwa hana makzi nchini humu mange kimambi amefunguka na kuweka bayana ugonjwa unaomsumbua Dogo janja tangu alipoanza kusemwa kuwa ni mgonjwa na anaumwa amelazwa.

Wikiendi iliyiopita msanii Dogo Janja alisherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa hospitalini huku ikisemwa kuwa anaumwa kifua pamoja na ukosefu wa maji mwilini mwake.

Lakin Mange kimabi ametuma salamu kwa waliwahi kumlea sana dogo janja kipindi bado mtoto na akiwa mgeni kabisa katika tasnia ya sanaa madee  na kumwambia uwa Dogo janja anahitaji sana msaada kwa sababu ya kuchwa na mwanamke huyu ingawa pia anamwambia dogo janja kuwa alichokosea na kumuoa Irene  kwa sababu Irene hakuwa mwanamk wa kuoa bali wa starehe.

Mange kimabi anaandika
“@madee msichukulie poa mapenzi yanauma na hasa kwa wanaume, mifano hai ipo huyo dogo anahitaji watu wa karibu kusmhauri ili kuaccept situation,ninaamini kuwa hata anachoumwa hapo ni pressure tu za mapenzi. @ireneuwoya anaweza kuwa na makosa pia kwa sababu kuna kipindi sisi wanwake tunakuwa tunataka tu kupata mwanaume  who can just love us lakini kiindi kile kikipita basi unakuwa hata unajishangaa kwanini uliamua vile………ukimfatilia irene kipindi anaolewa na huyu jamaa alikuwa kama anastress hivi lakini hapa karibuni amekuwa happy and she is living her life……
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger