Ndoa Yamnyima Usingizi Mbasha"Mimi ni Husband Material Tall, White, Handsome Atayebahatika Kuolewa na Mimi Atafaidi"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa nyimbo za Injili nchini, Emmanuel Mbasha, anaoneka bado 'mzimu' wa ndoa una mtesa, kutokana na maandiko mbalimbali anayoyatoa kwenye mitandao ya kijamii yakiwa yanalenga kumrudisha katika ulingo huo kwa namna moja ama nyingine

Kupitia mtandao wake wa kijamii Instagram leo asubuhi, Septemba 03, 2018, Mbasha alionekana kutoa neno lenye kusifu uumbaji wa Mungu kwa binadamu huku hakusita kuzungumzia sakata la ndoa.

"Mungu ni fundi sana, anajua kufanya kazi kwa ustadi mkubwa na wala hakosei, sawa na neno lake linavyosema, 'Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa kwa namna ya ajabu na ya kutisha' (Zaburi 139:14). Kweli Jéhovah ametisha katika uumbaji wake, cheki nilivyo 'Tall, White, Handsome', mwili unaopendezwa na pamba aina yeyote ile nadamshii sura ya ki-star", ameandika Mbasha.

Pamoja na hayo, Mbasha ameendela kwa kusema kuwa "yani ni kama nilikuwa pembeni yake najichagulia vile nataka kuwa, Baba nataka niwe mrefu, Handsome, rangi adimu n.k, 'sometimes' natamani Mungu angenipa fursa ya kukaa pembeni na kujitazama kwa jinsi ninavyo jikubali, yani nimeumbwa aisee. Asante Yesu kwa mibaraka tele ambayo umenipatia!. Atakaye bahatika kuolewa na mimi aisee hatokuja juta kwasababu mimi ni 'Husband Material' (Baba Lizzy)".

Emmanuel Mbasha kwa sasa anaishi maisha ya 'ukapela' baada ya kutarakiana na aliyekuwa mke wake na msanii wa nyimbo za injili nchini, Florance Henry maarufu kama Madam Flora ambaye kwa sasa anatumikia ndoa yake mpya tokea mwaka 2017 alipoolewa na mume wake mpya Daudi Kusekwa.



----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad