The Rock Ampa Shavu Nono Rapper Maarufu wa Kutoka Kenya, Stella Mwangi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

The Rock ampa shavu nono rapper maarufu wa kike kutoka Kenya, Stella Mwangi
Muigizaji anayeingiza mkwanja mrefu kwa sasa duniani, The Rock ametoa shavu nono kwa rapper wa kike kutoka Kenya, Stella Mwangi a.k.a STL kwa kutumia ngoma yake ya No Games kama soundtrack ya episode mpya ya Ballers HBO.

The Rock amethibitisha taarifa hizo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika “Oh Lord look what I got though
No Dwayne but I Rock though! Shout to bad ass rapper @stellamwangi for the dope lyrics – clearly I’m biased“.

Episode hiyo tayari imeanza kuoneshwa kupitia Cable ya HBO na bado haijajulikana ni kiasi gani amelipwa kwenye mkataba wake
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad