Ligi Kuu Kuendelea Leo Yanga na Alliance Kupambana Taifa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ligi Kuu Kuendelea Leo Yanga na Alliance Kupambana Taifa
Bado moto unaendelea kurindima baada ya jana kushuhudia mechi tatu zikichezwa katika viwanja tofauti huku Azam FC ikiibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya African Lyon, timu ya Mbeya City na Ndada,Ruvu Shooting na Mwadui zikitoka sare ya bila kufungana,hizi hapa mechi za leo:

Yanga vs Alliance Uwanja wa Taifa,Dar es Salaam.

Biashara vs KMC,Uwanja wa Karume.

Prison vs Singida ,Uwanja wa Sokoine ,Mbeya.

Coastal Union vs JKT, Uwanja wa Mkwakwani.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad