Rais Magufuli Kukutana na Wachezaji wa Taifa Stars leo Ikulu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais Magufuli kukutana na Wachezaji wa Taifa Stars leo Ikulu
Baada ya ushindi dhidi ya Cape Verde katika mashindano ya kuwania kufuzu kucheza kombe la mataifa huru ya Afrika mwaka 2019, timu ya taifa ya Tanzania  leo imealikwa Ikulu kwa ajili ya chakula cha mchana na Rais John Pombe Magufuli.



Kupitia ukurasa wa Twitter wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Gerson Msigwa ameandika “Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Oktoba, 2018 atakutana na wachezaji wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) na baadaye kula nao chakula cha mchana Ikulu Jijini Dar es Salaam.”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad