DC Dodoma awageukia Waziri Mwakyembe na Shonza, “badala ya kunihonga wape hawa”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


DC Dodoma awageukia Waziri Mwakyembe na Shonza, “badala ya kunihonga wape hawa”
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma mjini Patrobas Katambi alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa tuzo za kutambua thamani ya muziki, filamu na habari katika mkoa huo zinazofahamika kwa jina la NYAMBAGO.

Katika hotuba yake Katambi alitumia nafasi hiyo kutuma ujumbe wake kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe pamoja na Naibu wake Juliana Shonza kuona namna ya kuwasaidia vijana katika mkoa wa Dodoma.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad