11/30/2018

Mpenzi wa Ben Pol ni binti tajiri Africa Mashariki

Unamfahamu Anerlisa Muigai? Huyu ni binti wa Kikenya na CEO wa NERO company ni campany ya maji inayoongoza nchini Kenya.
Mama yake Thabita Karanja ni moja ya matajiri wanawake nchini Kenya, ni CEO wa campany ya Keroche breweries.

Thabita Karanja founder and CEO of Keroche Breweries, the largest locally owned brewery in Kenya, this outstanding business woman and award winning entrepreneur has built her fortune through a keen business sense and relentless determination. Her company has a turnover of KSh 1.5 billion (US14.4 million).

Hata hivyo binti huyo mwenye miaka 30 hakutaka kufanya kazi kwenye kampuni ya mama yake na kuamua na kuamua kuanzia kampuni yake ya maji NERO.
Been Pol na Anerlisa waliazisha uhusiano baada binti huyu kumkodi Ben Pol kutumbuiza kwenye event ya kampuni yake. Anerlisa amekiri kuishi na Ben Pol pamoja kwenye Mansion katika Safari zake zote za Nairobi wakati akihojiwa.
Kabla ya binti huyo tajiri Ben Pol alikuwa kwenye mahusiano na msanii wa vichekesho Ebitoke.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger