Rayvanny Akubali Yaishe Aufuta Wimbo wa ‘Mwanza’ You Tube

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rayvanny akubali yaishe aufuta wimbo wa ‘Mwanza’ You Tube
Hatimaye msanii wa muziki nchini Rayvann ameamua kuutoa wimbo wake na DiamondPlatnumz uliyojulikana kwa jina la ‘Mwanza’ baada ya kutakiwa kufanya hivyo na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).



Wimbo huo wa Mwanza uliyopostiwa siku ya Jumamosi kwenye You Tube ulikuwa unashika nafasi ya kwanza kwenye mtandao huo na kufanikiwa kutazamwa na zaidi ya watu milioni 1.5.

Kwa mujibu wa BASATA imewatoza jumla ya milioni tisa, ambapo DiamondPlatnumz milioni tatu, Rayvanny milioni tatu na kampuni ya Wasafi milioni tatu.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad