Shamsa Ford Ateswa na Ma-X wa Mumewe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Shamsa Ford Ateswa na Ma-X wa Mumewe
STAA wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford ameeleza kuteswa na wapenzi wa zamani wa mumewe, Chid Mapenzi ambapo kila kukicha wamekuwa wakimfanyia visa.  Akizungumza na Za Motomoto News, Shamsa alisema amekuwa akisumbuliwa na wanawake ambao waliwahi kutoka kimapenzi na mumewe ambapo kila anapokutana nao wamekuwa wakimfanyia visa kama kumpiga vikumbo na fujo nyingine za hapa na pale.

“Kiukweli wanawake wa zamani wa mume wangu wananisumbua sana, kila ninapokutana nao wananipiga vikumbo, wananifanyia visa na maneno kibao yakiwatoka huku wakitaja jina la Chid, naomba niwaambie tu kuwa wanatakiwa kukubaliana na hali halisi maana aliniona ninamfaa ndiyo akanioa na kuniweka ndani hivyo fujo wanazofanya hazisaidii bali wanatakiwa watafute wa kwao,” alisema Shamsa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. dada nakuamini kuliko Mastaa wengi.wewe fanya kama huwaoni.kawaida yao binadamu hasa binadamu wa kike wanakuwa na wivu sana.mpaka uachwe ndio furaha yao.muwe nyote ngoma sare.lakini Shamsa wewe umekomaa kiakili.nakupenda.

    ReplyDelete

Top Post Ad