12/05/2018

Rais Mstaafu Mwinyi Alazwa, Rais Magufuli Amjulia Hali


Rais Magufuli leo Desemba 5, amemjulia hali Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi anayepatiwa matibabu katika moja ya hospitali jijini Dar

Hata hivyo, hajawekwa wazi sehemu anapopatiwa matibabu hayo wala tatizo linalomsumbua
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

1 comment:

  1. Inshallah Allah akupe afya na Umri.
    Allah akulinde A mukunyanyua kwa uzima na Afya.
    Dua zetu ziko pamoja nawe na wagonjwa wote Yarab akupe Siha WA Afya.

    ReplyDelete

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger