Yusuf Manji Hatarini Kufilisiwa...Mali zake zawekwa Chini ya Uangalizi


Mali za mfanyabiashara maarufu nchini Yusuf Manji ziko hatarini kufilisiwa na kuwekwa chini ya wadhibiti na wakabidhi wasii ili kulipa madeni yanayodaiwa na Benki ya Maendeleo Afrika mashariki na Kusini, mali hizo ni pamoja na jengo linalofahamika kama Quality Centre.

Taarifa ya wafilisi na wakabidhi wasii chini ya Kampuni ya Price Water House Coopers (PWC) inaeleza kuanzia (jana) Manji hataruhusiwa kumiliki mali hizo mpaka atakapolipa madeni yote.


HABARI HIZI ZINAPATIKA UDAKU SPECIAL APP BONYEZA HAPA UWE NAYO KWENYE SIMU YAKO

Loading...

Yusuf Manji Hatarini Kufilisiwa...Mali zake zawekwa Chini ya Uangalizi Yusuf Manji Hatarini Kufilisiwa...Mali zake zawekwa Chini ya Uangalizi Reviewed by Udaku Special on December 06, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.