Matokeo ya FORM 4 ya Mtoto wa KAJALA Yatafutwa Kama Pesa...ni Baada ya wa MONALISA Kupata Divion One

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


January 24 , matokeo ya kidato cha nne yalitoka na kuibua hisia tofauti kwa watu kutokana na kwamba watoto wengi waliakuwa wakitegema amvuno ya kle wakicgokipanda shuleni kufanikiwa.katika mitandao ya kijamii imezua sura mpya baada ya msanii monalisa kuonekana mwenye furaha sana baada ya mtoto wake wa kwanza wa kike sonia kuondoka na division one tne aya A ya hesabu.

Lakini swala hili linazidi kuwa kubwa na kuzua maneno kwa sababu pia mtoto wa msanii wa bongo fleva kajala masanja anaejulikana kama paula pia amemaliza mwaka aliomaliza mtoto wa mona lisa na inasemekana kuwa walisoma shule moja.

Kama ilivyokuwa kwa monalisa na wazazi wengine kuwa na furaha na kuyatangaza matokea ya watoto wao, hii imekuwa tofauti kwa kajala kwa sababu hajasema chochote ilhali siku ya mahafali aliweka picha za kusherekea huko.

Basi kila mtu amekuwa akiongea lake hku page za udaku yakitafuta kwa hali na mali matokeo hayo ili kuyaweka hadharani.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tanzania ya kipindi kile sio Tanzania ya sasa muziki ni sanaa na pia ajira kwa wanamzik ila wapo wanaouchukulia mziki kama special area for show off, inaumiza sana kuona Wasanii wenye jina kubwa Tanzania na east Africa kwa ujumla wanakumbwa na skendo za ajabu kama za kutembea na Paula kajala
    Kajala namjua vema sana maana nili maliza nae form 4 Tusiime....uhakika wa yeye kufaulu ulikuw ni mdogo sana kutokana na tabia zake...ni mpole sana kama hamjazoeana ila ni wa tofauti kama mmezoeana, Matokeo yake yalikuwa ni division 4 but kwa serikali ya sasa hivi, hapo ataruhusiwa kuendelea na advance kwa kuwa wanawake wanapewa kipaumbele sana. Mtaji wa maisha ya mtu ni mtu mwenyewe ila kwa alicho kionesha Kajala Masanja ( mama mzazi wa Paula ) ni kwamba alitaka kuhakikisha ule msemo wa asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu.
    Muziki ni sanaa na msanii ni kioo cha jamii ila kwa Tanzania sidhan kama inaendana na msemo huu.. Rayvany na harmonize kutembea na Paulla sio dhambi ila sio sahihi kwa mda ule..

    Itumike akili ya ziada ya kumfanya kajala awe saikologically stable

    NIMEONGEA KAMA CLASS MATE..MENGINE SIWEZI SEMA MAANA HAITAKUWA UTU HATA KIDOGO
    ILA PAULA KAJALA NI MTU MWENYE AKILI YA BENDERA YAANI ANAFAATA UPEPO SO NI MZAZI PEKEE ANAYEWEZA KUUBADILISHA MWELEKEO WA UPEPO MAANA YEYE NDO AME MFANYA PAULLA KUWA BENDELA

    nimeongea kiutu uzima kidogo ili nieleweke, samahanin kama maudhui yamekosew

    http://wa.me/255672528457

    instagram @_peager__

    ReplyDelete

Top Post Ad