Rais Magufuli Ampa Maagizo Mazito IGP Sirro "Hao Polisi Fukuzeni, Waende Mahakama ya Kijeshi"

Rais Magufuli Ampa Maagizo Mazito IGP Sirro "Hao Polisi Fukuzeni, Waende Mahakama ya Kijeshi"
Rais Magufuli ametoa ufafanuzi wa alichokifuatilia kuhusu sakata la wizi wa madini ya dhahabu jijini Mwanza, amesema kuna kamchezo kalifanyika ili kuhujumu rasilimali hiyo, huku akiwapongeza Jeshi la Polisi kwa kazi kubwa waliyoifanya ya kuwakamata wezi hao.

“Ile dhahabu Watuhumiwa wale walishikwa tarehe 4, wakarudishwa Mjini na Kikosi cha Polisi nane, wakawapeleka Central wala hawakuwaingiza ndani wakawa wanajadili namna ya kuwapa hela, wakawaambia watawapa BILIONI 1 na usiku wakaondoka Central” Rais Magufuli

“Umefanya vyema kuwakamata wale Askari waliokuwa wakizungumza na mtuhumiwa ili wapewe rushwa, walishapewa Milioni 700 na nyingine waliambiwa watapewa Sengerema” Rais Magufuli

HABARI HIZI ZINAPATIKA UDAKU SPECIAL APP BONYEZA HAPA UWE NAYO KWENYE SIMU YAKO

Loading...

Rais Magufuli Ampa Maagizo Mazito IGP Sirro "Hao Polisi Fukuzeni, Waende Mahakama ya Kijeshi" Rais Magufuli Ampa Maagizo Mazito IGP Sirro "Hao Polisi Fukuzeni, Waende Mahakama ya Kijeshi" Reviewed by Udaku Special on January 09, 2019 Rating: 5

1 comment:

  1. Na hizo Mia saba walizopewa nyanganya zielekezwe kivuko cha mafia dar maana kinahatarisha maisha ya binadamu. Pia hao askari pengine ni wazoefu na hii si mara ya kwanza kutorosha dhahabu, wasaidie uchunguzi hao

    ReplyDelete

Powered by Blogger.