Inasikitisha Amjeruhi Vibaya Mkewe Kisa Kunyimwa Mapenzi Kinyume na Maumbile

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Amjeruhi Vibaya Mkewe Kisa Kunyimwa Mapenzi Kinyume na Maumbile
MWANAMKE mmoja mkazi wa Kijichi Mkoa wa Mjini Magharibi, amedai kupigwa na kujeruhiwa usoni na mumewe ambapo ameshonwa nyuzi 6, kwa madai ya kukataa kuingiliwa kinyume na maumbile na mumewe huyo.

Amesema kwa muda sasa mumewe amekuwa akimtaka kinyume na maumbile, akimshutumu kuwa hajui mapenzi. Mwanamke huyo amesema kuwa Mume wake alianza kumuomba penzi kinyume na maumbile miezi mitatu baada ya kumuoa.



Baada ya kuweka msimamo huo, Mume wake alianza kumtukana na kumwambia hajui mapenzi ambapo majirani walimueleza kuwa hiyo ndiyo tabia ya mwanaume huyo na ndiyo sababu ya kuachana na wake zake wawili.



Hata hivyo mwanaume huyo amekana taarifa hizo na kudai kuwa chanzo cha mgogoro wake na mkewe ni wakwe zake wanaomdai mahari kwa kumsimanga.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad