TOP 10: Wachezaji wanaoongoza kulipwa mishahara mikubwa Duniani


Moja kati ya ndogo za wachezaji wengi wachanga wa soka Afrika na kutoka sehemu mbalimbali ni kutaka kupata fursa ya kucheza soka la kulipwa, ambalo litawawezesha waweze kuingiza pesa nyingi ikitokea wamefanikiwa kujiunga na timu kubwa barani Ulaya.

Leo February 10 2019 naomba nikusogezee TOP 10 ya wachezaji soka duniani wanaolipwa mishara mikubwa kwa mwezi katika vilabu vyao, hii inatokana na uwezo wao uliyowawezesha kusaini mikataba minono,

TOP 10 hii ni kwa mujibu wa mtandao wa The Sun.

1- Lionel Messi                  FC Barcelona analipwa zaidi ya Tsh Bilioni 21.8 kwa mwezi

2- Cristiano Ronaldo       Juventus analipwa zaidi ya Tsh Bilioni 12.2 kwa mwezi

3- Antoine Griezmann    Atletico Madrid analipwa zaidi ya Tsh Bilioni 8.6 kwa mwezi

4- Neymar                         PSG analipwa zaidi ya Tsh Bilioni 8 kwa mwezi

5- Luis Suarez                   FC Barcelona analipwa zaidi ya Tsh Bilioni 7.4 kwa mwezi

6- Gareth Bale                  Real Madrid analipwa zaidi ya Tsh Bilioni 6.5 kwa mwezi

7- Philippe Coutiho         FC Barcelona analipwa zaidi ya Tsh Bilioni 5.9 kwa mwezi

8- Alexis Sanchez            Man United analipwa zaidi ya Tsh Bilioni 5.9 kwa mwezi

9- Kyliane Mbappe         PSG analipwa zaidi ya Tsh Bilioni 4.4 kwa mwezi

10- Mesut Ozil                 Arsenal analipwa zaidi ya Tsh Bilioni 4.1 kwa mwezi

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments