Nyota Yako leo Ijumaa May 10 May 2019

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa

🌟NG'OMBE- (April 21- May 21)
Anayekuzuia kufanya mambo yako ataumbuka si mtu mzuri lakini hana uwezo juu yako ataaibika endapo atazidi kukufuata nawe utagundua njama zake wiki hii Kati ya siku mbili za jua Jumatano au Alhamisi kabla jua halijatua.

🌟MAPACHA- (May 22- Juni 21)
Utahusishwa na Jambo litakalokukera punguza hasira kwani huo ni mtego ukivuka hapo yapo mafanikio makubwa utakayoyapata kwa marafiki na hata familia dalili za kupendwa zitazidi kuongezeka wiki hii.

🌟KAA- (Juni 22- Julai 23)
Kuna jambo linaweza kukuweka katika wakati mgumu acha mipango yote usiyokuwa na uhakika nayo kama ni mfanyabiashara hakikisha unaweka akiba zipo dalili za kuhitajika kutumia fedha za dharura na bahati yako ipo juu kwa sasa.

🌟SIMBA LEO- (Julai 24- Agosti 23)
Utashuhudia watu watatu wakija na kukueleza jambo la aina moja unatakiwa hilo kwani hakutakuwa na faida kwako mafanikio yako kwa kipindi hiki yanasimama katika biashara au mikopo kama huna mpango huo tulia na usubiri.

🌟MASHUKE- (Agosti 24- Septemba 23)
Kama utahitaji mapenzi mapya kama utapenda kukopa au hitaji lolote unalotaka kusaidiwa au kupewa mawazo hiki ndicho kipindi chako unaweza kupata bahati usiyotarajia kama unacheza michezo ya kubahatisha ndiyo kipindi chako riziki zimefunguka.

🌟MIZANI- (Septemba 24- Oktoba 23)
Utasikia habari njema lakini hutofanikisha ulichopanga yupo mtu usiyemtarajia atakuletea taarifa ya matumaini acha dharau sikiliza kila ushauri huu ni wakati wa kupata mambo mengi ya muhimu kutoka kwa watu mbalimbali.

🌟NG'E- (Oktoba 24- Novemba 22)
Utapokea taarifa njema siku ya Jumatano ipokee na kuiacha hivyo hivyo ni mtego unaoweza kukupeleka sehemu mbaya lipo jambo ulilolianza na kukwama sasa litafufuka na kuleta mafanikio unaweza kupata ushauri wa kinajimu kwa msaada zaidi.

🌟MSHALE- (Novemba 23- Desemba 21)
Kuna hali ya kuugua au kuunguliwa na mtu unayemtegemea suluhisho ni wewe jaribu kujiweka karibu na familia mali na heshima vinakuja hivi punde acha kushirikisha watu usiowajua vizuri katika mambo yako ya siri.

🌟MBUZI- (Desemba 22- Januari 20)
Furaha uliyopata itaendelea kuwepo uvumilivu ndiyo silaha yako endelea kujiweka wazi katika mambo yako kufichaficha mambo itakugharimu punguza hasira ili uaminike na kupata faida kuna mtu unayemdanganya naye anajua unachofanya.

🌟NDOO- (Januari 21- Februari 19)
Ni wiki nzuri kutembelea jamaa na kupata mawazo mapya ni wakati wa kusogea katika maisha usikae pekee na kujifungia zipo riziki za kutosha utakutana na mtu atakushauri biashara au wazo la kupata kipato usilidharau pia Epuka uvivu utakaouhisi sana wiki hii.

🌟SAMAKI- (Februari 20- March 20)
Utasifiwa kwa kufanya jambo fulani faida nayo itakuja endapo unafanya biashara au kazi unatakiwa kusaidia familia yako hasa nduguyo anayeumwa hii itakuongezea baraka ya kupata mambo zaidi.

🌟PUNDA- (March 20- April 20)
Kuna jambo umelifanya bila kujua lakini bado uliyemtendea anakukumbuka wiki hii utakutana naye na kushangaa mtakavyopanga mambo muhimu uwe makini endapo utahitaji kuingia katika masuala mapya ya mapenzi.                 

Kwa wale  wasiofahamu au kuelewa nyota zao. na wanaitaji kufahamu   nyata zao. ama kusafisha nyata. kuodoa  nussi. mikosi. kutoa  majini  wabaya. na kuodoa ndoto mbaya. pia anawasomea dua wagonjwa na kutowa  mapepo  wabaya. dani  ya mwili  nyumbani  kurudisha  mahusiano  baina  ya mke  na  mme na wasiliana na DR ISAYA +225745495181 +255682644040  www.tumainitibaasili.co.tz
_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad