5/17/2019

Waziri Awasihi Watanzania Kula Korosho, Asema Inaleta Heshima ya Nyumba


Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda amewasihi Watanzania kupenda kula korosho kwa kuwa ina manufaa kiafya ikiwemo kumuongezea mwanaume mbegu za kiume
-
Ameeleza kuwa "Kwani unafikiri kwanini Kusini wenzetu angalau wanazaliana sana? Kwa sababu wanakula korosho. Korosho inaongeza rutuba kwa mwanaume na hata ukimuuliza Dkt. Ndugulile ambaye ni Daktari wa binadamu atakueleza haya."
-
Aidha, amewataka Wananchi waanze kula maisha. Amesema "Watu wanapata fedha, 0badala ya kula maisha wanaangalia vitu vya starehe tu labda kuoa mke na kunywa pombe. Ila kula maisha ni pamoja na kuvaa vizuri, kula vizu1ri kujenga nyumba nzuri "
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger