Wema Sepetu Kukamatwa Kwa Kukiuka Dhamana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa hati ya kumkamata msanii huyo wa filamu nchini kwa kosa la kuruka dhamana baada ya upande wa mashtaka kudai kwamba mshtakiwa hayuko Mahakamani na hakuna taarifa yoyote

Wema anakabiliwa na mashtaka ya kusambaza video ya ngono katika mitandao ya kijamii kupitia simu yake ya kiganjani

Wakili wa utetezi, Ruben Simwanza, amedai mshtakiwa alifika Mahakamani lakini aliumwa hivyo akashindwa kuingia katika chumba cha Mahakama

Akitoa uamuzi huo, Hakimu Maira amesema Mahakama inatoa hati ya kumkamata mshtakiwa kwasababu kama alifika, alishindwa nini kuingia Mahakamani? 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad