Kundi la ADF Laua 12 Congo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kundi la waasi wa Kiislamu (ADF) limewaua watu 12 katika mashambulizi mawili kwenye eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambalo linapambana na mripuko wa ugnjwa wa Ebola.

Waasi hao wanaoshukiwa kutoka kundi la ADF kwa wakati mmoja wameshambulia maeneaya Eringeti na Oicha siku ya Jumatatu.

Msimamizi wa eneo la Beni Kasereka Donat amesema waasi hao wamewaua watu tisa Eringeti na watatu Oicha.

Donat ameongeza kuwa licha ya kutumwa idadi kubwa ya wanajeshi wa Kongo katika eneo hilo, wakaazi wake bado wanaishi katika hali ya taharuki kutokana na mashambuli ya aina hiyo.

Uwepo wa kundi la waasi wa kiislam, pamoja na wanamgambo wengine wanaofanya vurugu, umehujumu juhudi za kutaka kuudhibiti ugonjwa huo wa Ebola.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad