Rais Kenyatta aukubali wimbo ataka atumiwe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameukubali wimbo wa Bendi iliyokuwa ikiimba Airport wakati akisindikizwa kurudi nchini kwao Kenya.

Kenyatta amesema "Nimeongea na mheshimiwa Rais nimemwambia kwenye rekodi hii ninataka wimbo huu, itabidi muifanyie rekodi na mnitumie si ndiyo."

Rais Uhuru Kenyatta aliwasili nchini kwa ziara yake binafsi ambapo alifika Wilaya ya Chato  akitokea kijijini Kilimani, nyumbani kwa Rais Magufuli baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili.

Katika ziara yake hiyo, Rais huyoalimjulia hali mama mzazi wa Rais Magufuli ambaye ni mgonjwa.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad