Mikoa10 iliyotoa Wasomi Wengi zaidi Nchini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Nilikuwa nasoma sehemu moja ya utafiti mikoa kumi iliyotoa wasomi wengi zaidi nchini

1.MKOA WA MARA huu umeshika nafasi ya kwanza ambao unapatikana kanda ya ziwa kwa kutoa wasomi wengi zaidi ambapo mkoa wa mara wanapatikana WAGITA,WAJALUO, WAKURYA NA WAZANAKI ambao kwa kiwango kikubwa ni jamii zilizoenda shule

2.KILIMANJARO huu ni mkoa unashika nafasi ya pili ambapo mkoa unapatikana kaskazini huu umeshikiliwa na makabila mawili makuu WACHAGA NA WAPARE ambao ni wasomi wa kiwango cha juu zaidi na wengi wameenda shule

3.MWANZA ni mkoa upo kanda ya ziwa ambao yanapatikana makabila matatu nayo wasukuma,wazinza na wakerewe ambapo hizi ni moja kati ya jamii zilizoenda shule sana ni jamii zilizotoa wasomi wengi zaidi

4.KAGERA ni mkoa ambao upo kanda ya ziwa yanapatikana makabila manne ambayo ni wangaza,wasubi,watusi wanyambo na wahaya huu ni mmoja kati ya mkoa unashika nafasi ya nne kwa kutoa wasomi wengi zaidi .

5.MBEYA huu ni mkoa unaopatikana kanda za juu kusini ambapo yanapatikana makabila makuu mawili wasafa na wanyakyusa pia mkoa huu umetoa wasomi wengi zaidi licha wengi kuonekana wametokea unyakyusani

6.TABORA ni mkoa unaopatikana kanda ya kati ambapo wenyeji wa mkoa huu ni wanyamwezi, watusi, wasukuma pamoja na wamanyema
pia mkoa huu unashika nafasi ya sita kwa kutoa wasomi wengi zaidi licha wengi kuonekana wanyamwezi

7.ARUSHA huu ni mkoa wanaopatikana wameru, waarusha, wamasai mkoa huu upo kanda ya kaskszini pia mkoa huu unasemekana kutoa wasomi wengi zaidi


8.RUVUMA ni mkoa ambao wenyeji wake ni wangoni,wamatego na wamatumbi huu ni mkoa ambao umetoa wasomi wengi zaidi wengi wao wakionekana kutokea jamii za kingoni

9.IRINGA huu ni mkoa ambapo upo nyanda za juu kusini ambao wenyeji wake wengi ni wahehe,wabena, wanyarukoro,wakinga huu ni mkoa ambao umetoa wasomi wengi zaidi wengi wakitokea jamii za wakinga na wabena

10.KIGOMA huu ni mkoa unaoshika nafasi ya kumi ambapo wenyeji wa mkoa huu ni waha,wamanyema, wabwaliii, wabangubangu, watusi pia kigoma ni miongoni ya mikoa iliyotoa wasomi wengi zaidi
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad