8/12/2019

Wema Sepetu "Nina Mchumba ila Kamwe Hamtajua..Nimekoma Mimi"


Wema Sepetu "Jamani nina mchumba Mbongo ambae sio maarufu ila haitotokea nikampost au kumuonesha kwenye mitandao kwani ni Utoto na imeshapitwa na wakati wake...Ukishakuwa na mahusiano na mtu alafu ukayaweka Public yanakuwa tena sio mahusiano yenu bali ya watu...Kwa kweli kipindi cha nyuma nimekuwa nikifanya hivyo sana na imekuwa ikinicost sana na mwishoe inaishia kuachana na kuwapandisha chat hao wanaume


TAZAMA ALICHOFANYA ROSA REE BAADA YA KUFUNGULIWA NA BASATA

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger