Nampenda Sana Sugu, Sijui Nilikosea Wapi- Faiza Ally

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya Mjini Sugu, Faiza Ally amesema amependezwa na tukio la kufunga ndoa kwa, Joseph Mbilinyi amesema kuwa anaamini sasa Mbunge huyo anaenda kuwa na maisha ya furaha zaidi.

Faiza ametoa kauli hiyo ikiwa ni muda mchache baada ya Mbunge Sugu kufunga ndoa na mkewe Happines Msonga, ambapo kupitia mtandao wake wa Instagram, amesema licha ya Sugu kuoa bado ana mapenzi na yeye.

“Kuna mtu anayenipenda sana alinipa ratiba nzima mwezi mmoja kabla ya ndoa na kabla ya hapo nilijua kama wataoana ila siku ya tukio ni siku ya tofauti, hata mwanzoni nilipotaka kufanya jambo nilijikuta nakosa hisia za kufanya kwa sababu sina tena majonzi juu ya baba Sasha,”amesema Faiza.

Ameendelea kusema, “nikimwangalia baba Sasha na mke wake sioni mtu wa kuniliza na najiuliza nilikosea wapi, kwa sababu nilikuwa mpenzi bora, nilikuwa mama bora kwahiyo sijapata mwanaume tu wa kunielewa mimi. Anaoa lakini najua bado ananipenda mimi”.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mmh! Mmh! Maandiko matakatifu yanasema : 'Ndoa na iheshimiwe na watu wote' 'Apatae mke apata kitu chema' 'enyi waume wapendeni wake zenu...' 'toka mwanzo Mungu aliumba mtu mke na mtu mume, wawili hao wataambatana na kuwa kitu kimoja' 'aliowaunganisha Mungu, binadamu asiwatenganishe'

    ReplyDelete
  2. Sorry sio kitu kimoja Bali wataambatana na watakuwa mwilini mmoja

    ReplyDelete

Top Post Ad