Mfanyakazi TAKUKURU Amuua Mpenzi Wake kwa Risasi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


OFISA Msaidizi (Mlinzi) wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma, James Paulo (27) anadaiwa kumuua kwa kumpiga risasi tatu kichwani, mchumba wake ambaye alikuwa akitarajia kumuoa.



Taarifa za awali zinadai kuwa, James alikuwa akimsomesha mtarajiwa huyo aliyefahamika kwa jina la Beata Kafuru, ngazi ya Diploma, kozi ya Nursing na kwamba licha ya kujaliwa kupata mtoto mmoja, inadaiwa baada ya masomo, mtarajiwa wake alikataa hakuna ndoa, ndipo kijana huyo alipochukua maamuzi ya kumuua.

Mtuhumiwa huyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano na uchunguzi. Mauaji hayo yametokea katika nyumba wanayoishi.



Jeshi la Polisi limeeleza kuwa limeikuta bunduki aina ya Browing ambayo ni mali ya TAKUKURU ikiwa na risasi nne na maganda matatu.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad