12/14/2019

Simple Boy AWEKA Wazi Kuwa Yeye ni BIKIRA...Amtamani Kimapenzi Wema Sepetu

Pichani jamaa huyo wa Kenya kwa jina la Stivo Simple Boy amejitosa kueleza kuwa yeye bado ni bikira na hana demu hadi sasa, huku akifunguka kwamba WEMA Sepetu ndie mwanamke wa ndoto zake. -

Stivo ambaye ni msanii chipukizi katika mahojiano na Citizen Radio alipoulizwa, ni mtu gani maarufu umekuwa ukitamani sana kuwa nae kama ungekuwa na uwezo ndipo akajibu Wema Sepetu

Kwanini Wema Sepetu? Amejibu ni mwanamke mtulivu asiye na maneno mengi, aliyejaaliwa, mwenye sura nzuri na mengine mengi mazuri amebarikiwa -

Jamaa huyo alianza kuukwaa umaarufu June-July mwaka huu kupitia Wimbo wa Vijana Tuache Mihadarati Baada ya kusambaa mitandaoni ingawa Wimbo wenyewe inaelezwa ulitoka mwaka 2017 lakini umekuja kumpa umaarufu 2019 Baada ya kusambaa huku na huko Kwa wanamitandao na kumfurahia Stivo
TAZAMA WIMBO WA ROSA REE ALIOIMBA KIMASAI
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger