12/14/2019

Wanawake Wawili Wajipeleka Hospitalini Kupima DNA Kudhibitisha Kuwa Wamezaa na Mwanamuziki Future..Majibu yake Sasa!

Future ana watoto 6 lakini inapoelekea sasa orodha itafikia 8 kwani wanawake wawili ambao wanadai kuzaa na rapper huyo wameenda mbali zaidi na kuamua kufanya kipimo cha DNA kuthibitisha kwamba watoto hao ni wa Future.

Baada ya kuwakana kwa muda sasa, Eliza Reign na Cindy Parker wameamua kuchukua damu za watoto wao na kuzipima kutambua kama ni ndugu na majibu yalikuja YES, kwamba damu zao zimeendana na ni ndugu.

"DNA testing was done to determine siblingship of the alleged siblings. Based on testing results obtained from analysis of the DNA loci listed, the probability of half-siblingship is 99.999996% The likelihood that they share a common biological percent is 30,462,556 to 1." Yalisomeka majibu hayo.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger