Alinipenda Sana Kabla Hajapata Kazi, Sasa Kapata Kazi Ananiona Bwege

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Najuta ni kiherehere cha moyo wangu kukupenda,kukuthamini na jukujali.

Naombeni msaada,ni mpenzi wangu yapata 1&half year katika mahusiano ni binti ambaye tulifahamiana nae siku moja alipokuja na mama yake mdogo ofisini kwangu kupata huduma,

huyu mama yake mdogo ni mtu ninaefahamiana nae hivyo basi akaona haina budi kunitambulisha kwa mwanae nami nikaona ni vizuri kuanzia hapo binti yule alianza kunizoea na kuonesha dalili zote za kunitaka hata baadhi ya siku hufunga safari na kuja kunisalimia.

nami sikua na hiyana huwa sipendi kumkwaza mtu nikawa nampa ushirikiano tu mzur.

kutokana na ubize wa kazi yangu muda wa story huwa sina nikamwambia kama hutojali uwe unakuja saa 12jioni muda ambao nipo off ila sijui kama mama yako mdogo atakubali akasema hilo halina shida nikimwambia nakuja kwako hawezi kunikatalia kiukweli hilo jibu lake lilinipa ulakini!! 

Basi jioni tukawa tunaenda sehemu ya utulivu tunapiga story sana tunapata chakula then tunaondoka tuliendelea hivyo kwa muda mrefu huwa anakuwa kama na kitu cha kutaka kuniambia lakini anashindwa kila usiku lazima anipigie simu na asubuhi lazima aniulize umeamkaje.

kutokana na tabia zake nzuri alizozionesha kwangu nikaona pengine Mungu ndo kanionesha mke mwema nikamtongoza japo sikutumia nguvu hata kidogo alitabasam na kufurahi nakumbuka alinikumbatia na kunipiga busu hadi nilihisi kuwewesuka kwa joto lake.

Nikawa namhudumia kila alichokitaka nilimpatia na alinipenda na kuniheshimu kama mume wake.

Nakumbuka aligombana na mama yake mdogo akawa kahamia kwa dada yake ni mbali kidogo huko nadhani maisha yalikuwa ya shida,alikuwa akinipigia simu "leo baby sijala"nikawa namsaidia akiugua namtumia pesa za matibabu,

SASA basi miezi miwili imepita kapata kazi basi ni dharau mwanzo mwisho simu hapigi,text hanitumii hata nikimtext baada ya masaa mawili ndo anareply tena shortly wiki tatu zimepita kanipigia simu anaumwa bila hiyana nikaenda kumuona na nilimpa kila kitu anachohitaji mgonjwa sikutaka maongezi nikaondoka zangu hadi leo sijawasiliana nae sababu ninahasira nae sana na ninataka nimfanyie kitu ambacho hatakisahau ili iwe fundisho au nyie wanajamvi mnanishauri nini?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wewe unaonyesha ni mgeni kabisa katk maswala ya tabia za wanawake,unapomgaramia au kumpenda mwanamke yeyte ni kama ubacheza kamali, kukosa au kupata na kukosa ndo zaidi, potezea tu hilo mbona dogo? wanamakubwa hawa viumbe balaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kweli mdau!inawezekana hiyo kazi kaipata kwa njia ya ngono na jamaa kamdanganya vitu kibao sasa kwakuwa hawa viumbe teacher wao ni kipofu ndio maana kakugeuka fasta!kudanganywa hawa watu ni jadi yao ukimwambia ukweli bila mkudanganya basi anaona unamdanganya so ni haki yao na siku moja ndio atakuja kujua mbivu na chungu ni ipi by that tym aitakuwa ni too late.

      Delete
  2. Me ni mwanamke pia ila kwa hilo huyo hana fadhira na wala hajui thamani ya kupendwa fanya unachoweza kukonesha hiyo tabia hamna huruma hapo shenzy

    ReplyDelete
  3. Hata wanaume mkipata pesa mnamatatizo sana sioni shida hapo mkitendwa nyie kelele nyingi pumbu zenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hilo mbona dogo sn,lkn kumbuken kua hata wanawake washalia sn kwajili yenu,naona kwa sasa,ni zamu yenu. Onjen utamu wa kutendwa ili mjifunze na ninyi kuwathamin pale mnapopendwa. Sote ni binadamu na malipo ni hapa dunian uckute na ww ulishawaumiza wengne kibao mpaka kuja kwa huyu. Plz kama mtu huna mpango nae y upende chezea hicia zke? Mbaya saaana hasa wanaume ndio mnaoongoza kwa hlo na kwa mauaji kila cku tunasoma na tunaona pic za mauaji n.k, badiliken plz.

      Delete
  4. Nadhani ujasema kama umejarbu kukaa nae na kumdadis kwa nni kabadilika uenda kuna kitu anakikosa kwako, usiharakishe kumuacha chukua mda wko mchunguze utapata jb. jua kwamba wote ni wa baba mmoja unaweza kumuacha uyo ukakumbana na balaa zaidi ya hilo.

    ReplyDelete
  5. Wanawake tuwe tuna kumbuka fadhira, haya huyu mwenzetu hicho kibarua kikiota nyasi itakuwaje?

    ReplyDelete
  6. Safi sana ungeyafanya wewe wala usingejali maumivu ya nwenzio...wanawake oyeee! Wanawake na maendeleo tufanye kaz tusonge mbele ooooooo!!

    ReplyDelete
  7. Pole saaana!
    Wabawake woote Akili zao ni Moja Tofauti ni Majina tu,
    Hata hao walioshabikia hapo kitendo hicho Akili zao Finyuu.
    Cha Msingi Piga Chini huyo mdada,wanawake waapo kibao tena hawana ramani Mpotezeee uyo HAKUFAI HATA KIDOGO

    ReplyDelete
  8. Ni ambie namba yake nikusaidie .

    ReplyDelete
  9. Kilichokufanya uweke picha yke nn??we umeshaliwa kaa Kmya,hii ndo daslam....

    ReplyDelete
  10. Pole sana kaka yangu. Huna sababu ya kulipa kisasi kwani haitampendeza mwenyezi Mungu. Kwa yote mema ambayo umeshamfanyia nadhani atapata wakati wa kuyatafakari ingawa hatoyaona ya maana kwa sasa ila ipo siku tu atabaini hilo. Na ubaya aliokufanyia basi mwachie Mungu amuadhibu kwani sisi hatuna mamlaka ya kuhukumu. Pia jifunze kusamehe pia

    ReplyDelete
  11. Wanaume wasenge sana nyie bora kakukomesha hamna fadhila mbwa nyie,hampendek,waongo, michepuko balaa,mkipendwa mnaona kma msichana mjnga sana auhana uwezo wa kupata mwanaume mwingne me ckuonei huruma maana nimetendwa bila sababu

    ReplyDelete
  12. Maduu nowdays n pasua me mwnywe nshaamua ctapend tena kaz yng tu nd inanpa faraja!

    ReplyDelete
  13. Sioni alichokutenda hapo kwani kaondoka ma pumbu zako? Mkundu wewe unalia nini? Mkuki kwa ngurue kwa binadamu mchungu

    ReplyDelete
  14. matusi ya nini? kama huna ushauri kuna haja ya kutukana?

    ReplyDelete
  15. Mtoto mzuri umenifurahisha sanaaaaaaaa, Ni ukweli kabisa usipingika wao watufanyie sisi tu na siyo watendewe.

    ReplyDelete
  16. huyu sio yeye lkn

    ReplyDelete

Top Post Ad