Batuli afichua siri ushosti wake na Wema

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



MREMBO Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ amefichua siri kuhusu urafiki wake na muigizaji Wema Sepetu kuwa ulirudi muda mrefu ila watu hawakufahamu.  Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Batuli amesema yeye na Wema wameanza kuzungumza muda sana ila hawakuweka wazi urafiki wao hadi video iliposambaa ndiyo watu wameanza kuzungumza yao.

“Mimi na Wema tulishakaa na kumaliza tofauti zetu, tumeanza kuongea kitambo sana, sema watu wameshtuka baada ya kuona video tukiwa pamoja huko Instagram. Pia watu wajue kwamba kuna kipindi lazima muache maisha yaendelee kuwekeana vinyongo moyoni sio vizuri,” alisema Batuli.

Wawili hao walikuwa kwenye bifu kwa muda mrefu huku chanzo kikitajwa kuwa ni kutofautiana itikadi za kisiasa ingawa wenyewe hawajaweka wazi.

Stori: Memorise Richard


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad