Wema Sepetu Amshawishi Idris Wawe na Mahusiano ya Kimapenzi, Idris Amchomolea

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baraka juu ya baraka ehe!

Ebwana eh! Mambo yanaizdi kumnyookea kijana wa Sultan na hasa baada ya kutoa series yake ya “Nakupenda mpaka kufa” na kinachotrend hivi sasa ni komenti ya  Madame Wema Sepetu akimtaka Idris  kuwa na mahusiano ya kimapenzi.



Siku ya leo Idris Sultan alipost picha akiwa yeye na Wema Sepetu na kuweka caption huku akimtag Wema Sepetu kwa kuwauliza mashabiki zake kama wakifanya filamu pamoja itanoga.

Idris aliandika;

Tukiwa movie moja itakuwa tatizo 😈🔥 @wemasepetu .
.
Plus sio kitambi, ni suti imevutwa nyuma na bidada

Wema nae bila hila alishuka na bonge la komenti akigusia juu ya utani aliouweka Idris kwenye caption hiyo juu ya kuvutwa koti na kumalizia kumjibu juu ya uwezekano ya wawili hao kufanya filamu kwa pamoja na kumtaka wawe kwanza kimapenzi ndo mzigo uwe mkubwa.



Idirs nae alireply kwenye komenti hiyo na kuandika;



Idris na Wema Sepetu inasemekana walishawahi kuwa kimapenzi baada ya mara ya mwisho Wema kuachana na Diamond, penzi lao lilidumu kwa muda kadhaa kabla ya kuanguka kifo cha mende.



Hili halikuonekana sana kuwakera mashabiki wao kwani wengi walioshuka kwenye uwanja wa comment wakiwa peace sana na wengine wakiwataka wawili hao warejee na wafanye kitu kikubwa.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wema KIPALA
    IDLISS kakonda.

    hii inakuwaje,,,,??? Dnzak na Mshenga wake.

    ReplyDelete

Top Post Ad