Zitto: Wanataka Kumuua mtu wao Kesi Wanipe Mimi, Sitaki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amezidi kumcharua mwanaharakati Musiba akimuita ni zuzu aliyetumika anasubiria.

Zitto amesema wanataka mumuua mtu wao kesi wampe yeye.

“Acha wafu wazikane wenyewe wasiniingize kwenye mambo yao. Musiba ni zuzu limetumika sasa wanalitupa. Wamalizane huko,” aliandika Zitto.

“Wanataka kumwua mtu wao kesi wanipe Mimi, aku. Acha wafu wazikane wenyewe,”.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jitto, usijitoe Kimasomaso. Huyawezi ya Kindumbwe ndumwe cha CM Musiba ( Kipenzi cha Wazalendo)

    Mdogo wako antakiwa kuripoti na wewe pia kwa mahojiano yawali na uttaipika tu baada ya Kibano na Mzerumani hatujaipata oteli aliyoifikia ila tutazuia kuvuka kwake mipaka mpaka tumpekeyue na hivi majina yake tumeshapeleka Jumuia husika kupata taarifa zake za awali na nchi jirani pia kujua alipotokea na dhumuni la safari yake na muda tegemezi wa makazi alipoingia.

    Musiba hajafungua RB Bado. ila taarifa zake hatuja ziipuuza tumesha anza kuzifanyia Kazi na picha tunayo.

    Tanzania yetu ni Salama Mdogo wako tunamtaka afike na kuitikia Wito haraka sana pasi kupoteza Muda.

    ReplyDelete
  2. Jitto, usijitoe Kimasomaso. Huyawezi ya Kindumbwe ndumwe cha CM Musiba ( Kipenzi cha Wazalendo)

    Mdogo wako antakiwa kuripoti na wewe pia kwa mahojiano yawali na uttaipika tu baada ya Kibano na Mzerumani hatujaipata oteli aliyoifikia ila tutazuia kuvuka kwake mipaka mpaka tumpekeyue na hivi majina yake tumeshapeleka Jumuia husika kupata taarifa zake za awali na nchi jirani pia kujua alipotokea na dhumuni la safari yake na muda tegemezi wa makazi alipoingia.

    Musiba hajafungua RB Bado. ila taarifa zake hatuja ziipuuza tumesha anza kuzifanyia Kazi na picha tunayo.

    Tanzania yetu ni Salama Mdogo wako tunamtaka afike na kuitikia Wito haraka sana pasi kupoteza Muda.

    ReplyDelete
  3. Jitto, usijitoe Kimasomaso. Huyawezi ya Kindumbwe ndumwe cha Cypria Majura Musiba ( Mwana Harakati Huru )

    Mdogo wako antakiwa kuripoti, na wewe pia kwa mahojiano ya awali na uta tapika tu, baada ya Kibano na Mzerumani hatujaipata oteli aliyoifikia ( kama mmmemuweka kwenyenyumba,jua tutamfikia tu ). Na tutazuia kuvuka kwake mipaka mpaka tumpekeyue na hivi majina yake tumeshapeleka Jumuia husika kupata taarifa zake za awali na nchi jirani pia kujua alipotokea na dhumuni la safari yake na muda tegemezi wa makazi alipoingia.

    Musiba hajafungua RB Bado. ila taarifa zake hatuja ziipuuza tumesha anza kuzifanyia Kazi na picha tunayo.

    Tanzania yetu ni Salama Mdogo wako tunamtaka afike na kuitikia Wito haraka sana pasi kupoteza Muda.

    ReplyDelete
  4. Jitto, usijitoe Kimasomaso. Huyawezi ya Kindumbwe ndumwe cha Cypria Majura Musiba ( Mwana Harakati Huru )

    Mdogo wako antakiwa kuripoti, na wewe pia kwa mahojiano ya awali na uta tapika tu, baada ya Kibano na Mzerumani hatujaipata oteli aliyoifikia ( kama mmmemuweka kwenyenyumba,jua tutamfikia tu ). Na tutazuia kuvuka kwake mipaka mpaka tumpekeyue na hivi majina yake tumeshapeleka Jumuia husika kupata taarifa zake za awali na nchi jirani pia kujua alipotokea na dhumuni la safari yake na muda tegemezi wa makazi alipoingia.

    Musiba hajafungua RB Bado. ila taarifa zake hatuja ziipuuza tumesha anza kuzifanyia Kazi na picha tunayo.

    Tanzania yetu ni Salama Mdogo wako tunamtaka afike na kuitikia Wito haraka sana pasi kupoteza Muda.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Si nimesikia Alienda, kutafuta mgao ughaibuni akaishia kwa miglesheni loya.

      Delete
    2. Wanasema alichemsha baada ya kufaili ukimizi mataifa mawili. ikaoneka kamaa kawaida yake ya
      NDUMILA KUWILI. Wakamtolea nje na Huku plesha ya kukosa Jimbo , Maalim na mafuriko chamani wanachukua chama ajili ya Mgao tarajiwa wa Ruzuku. mambo Tafarani . sasa ameamukujaribu Uusama.

      Sirro na Simbachawene wako Macho vibaya Sana.Na mlinzi Golini Mambosasa. MECHI TAMU. HUONI NDANI MWAYA.

      Delete

Top Post Ad