Bank Kuu Yatangaza Maboresho Kwenye Noti aa Tanzania

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa


Benki imetangaza mabadiliko kwenye noti za 1,000; 2,000; 5,000 na 10,000 ambapo kwa sasa zitakuwa na sahihi za Waziri wa fedha aliyepo madarakani, Dkt Philip Mpango na Gavana, Prof Florens Luoga

Mabadiliko mengine ni kwenye noti za Tsh 2,000; 5,000 na 10,000 ambapo ukanda uliokuwa unaonyesha picha noti inapogeuzwa geuzwa, kwa sasa imewekwa nyota inayozunguka

_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad