DC Patrobas Katambi Amsamehe Masanja Mkandamizaji

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPAMkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi amemsamehe mchekeshaji Emmanuel Mgaya 'Masanja' baada ya kuitikia wito wake alioutoa Aprili 3 wa kufika ofisini kwake au Polisi

Akizungumza na Wandishi wa habari, Masanja amesema lengo la kipindi lilikuwa kuelimisha na siyo kuleta mzaha, na ameomba radhi kwa hilo

Pia, amemuahidi DC Katambi kuwa atatumia kipawa chake kuhamasisha watanzania kutumia vitakasa mikono na kufuata masharti yote ambayo yanatolewa na viongozi kuhusu #CoronaVirus

DC Katambi amesema hana tatizo binafsi na Masanja wala kituo cha DW ambacho muigizaji huyo anafanyia kazi bali walimuita kwa ajili ya kuwekana sawa
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad