Sinta Kaa Nimwamini Mganga Yoyote wa Mapenzi Baada ya Hili Kunitokea

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nakumbuka nilipokuwa darasa la 4 nilitokea kumpenda dada mmoja alikuwa anaitwa Rusi. 
Nilihangaika sana namna ya kumpata lakin nilikuwa naogopa kutongoza kipindi hicho. Ikabidi nimweleze kaka mmoja ambaye ni mkubwa kwangu kumbe naye domo zege akanishauri niende kwa mganga ili anipe dawa ya mapenzi.
Kipindi hicho hata hela sina sikuwa na uwezo wa kupata ikabidi nikaenda kweli kwa mganga. Yule mganga akaniambia dawa ipo lakin nmpe shilingi elfu 2.
Nikaumiza kichwa namna ya kuipata nikaona ngoja nimdanganye baba kuwa nmepoteza kitabu cha mwalim, nilipomweleza baba akanipa hyo hela nikaenda kumpa yule mganga naye akanipa dawa nikarudi nyumban.
Nikaanza kila asubuhi napaka ile dawa nikiwa naenda shule na namsubir huyo Rusi tunaongozana huku nikisubiri yeye ndiyo aanze kuniambia ananipenda kwasababu nilijua ile dawa itamvuta na anipende.
Nikaona wiki inakatika Rusi hana mpango hata wa kunitamkia kuwa ananipenda nikazidi kujisiliba hayo mafuta ya dawa lakin kimya. Nikaona acha nibadili dini nimfuate anakosali yeye huku nikizidi kupaka ile dawa lakin hakuna hata siku moja aliyoweza hata kunichekea. Nikaishiwa nguvu baada ya kuona dawa inaisha bila hata kuona tabasam la Rusi pamoja na jitihada zote. Tangu siku hyo simwamini mganga yoyote nyamaafu
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahahahahaha mganga noma kajilia elfu2 zakeeeeeeeeee.

    ReplyDelete
  2. mwee mi mwenyewe siamini kama kuna dawa ya mapenzi jamanii. eti wtz wenzangu hv ipo ya ukwelii??

    ReplyDelete
  3. ZIPO SANA TU.KWANI LIMBWATA NI NINI?NI DAWA YA MAPENZI HIYO.ILA YA KUTONGOZEA CJUI KAMA IPO NA KAMA IPO BASI ITAGEMEA NA UJANJA WAKO WA KUONGEA NA VIDOSHI.HA HA HA HA HA HAHAAAAAAAAAAA..........POLE SANA NDUGU YANGU.WENGI WANAZINGUA SANA HAWA JAMAA.

    ReplyDelete
  4. Darasa la 4 kwa Mganga wa Kienyeji kwa ajili ya Mapenzi? Mh! Dunia inafikia mwisho.

    ReplyDelete
  5. Ila na ww ulianza mapenz mdogo mno darasa la nne au ndyo story tu

    ReplyDelete
  6. Admin huna jipya huyu baba wa kupenda mwanamke na kwenda kwa mganga awe darasa la nne !!!!!?? sio TZ yaani hujanishawishi

    ReplyDelete
  7. Angalia vya kupost ww darasa la 4 na mapenzi wapi na wapi

    ReplyDelete
  8. dawa zpo ila ulianza mapema mno na ndo maana mganga alikupatia dawa isiyo sahihi kwani umri ungali mdogo ungeharibikiwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad