Hip Hip Inauza...Mr T Touch Awataka Wasanii Wengine Kujifunza Kwenye 'Kaka Tuchati' ya Rostam

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mtayarishaji wa muziki nchini kutoka Touch Sound, Mr T Touchez awataka wasanii wengine wa Hip Hop nchini kujifunza kutoka kwa Rostam.
-
"Hip hop inauza na getini mtalipa kwa Sauti ya Mr Blue Byser1988 mi nadhani hawa Jamaa wameniondolea ubishi ambao nabishanaga Na watu kila siku kuhusu hip hop wasanii wa hip hop Zamani mfano kaka zetu kina Professor Jaytz na wengine walikuwa wanaimba hip hop na wamepata mafanikio Makubwa kupitia hip hop lakini huu mziki ni mziki ambao unataka sana idea.

Kuliko kuamka na kuanza kujisifia mi najua mi narap kuliko Fulani hapo hip hop utaichukia na hutoona mafanikio Yake hawa Jamaa wanafanya show nyingi kuliko wasanii wengi wa kuimba na wanafanya hip hop nyimbo kama hii #kakatuchat hakuna MTU hatoipenda ukiona MTU anaichukia hii nyimbo ujue mnafki mi nadhani sasa muda umefika wanahip hop wabadilike idea ndo zinatakiwa nyimbo zitapenya kwenye kila jinsia na umri haijalishi Mtoto Mdogo au MTU mzima.

Sasa wale Mwanangu wa yooh yooh nyingi inatakiwa mjipange lasihivyo mtabaki kusifiwa kwenye mitandao na washkaji zenu wa kijiweni ila mafanikio utayasikia kwenye bomba sikiliza nyimbo nyingi za hip hop zilizopenya kwenye masikio ya watu ndani na nje ya nchi zina idea sio majigambo Tuu nyimbo kama Toomuch Muziki za Darassa nyimbo kama Zalilamentali Kikaochadharura Chemsha bongo za Profjay zipo nyingi na mifano tunaona kwa macho zinafika mbali.

#Wanahiphop tubadilike bila kusahau ngoma ya mdogo wangu Young Killer Msodokii Newgirlfiend nice idea vitu kama hivyo wowowo ya Zaiid Playboy ya Nikki mbishi Beiyamkaa ya weusi Vitu kama hivyo tukae huko wanahiphop tunakwama wapi???" alimalizia Mr T Touch
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad