Vilabu Vyakubali Ligi Kuu Uingereza Kurejea , Samatta Wenzie Kufungua Dimba Tarehe 17 Juni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) limeripoti kuwa vilabu vya ligi kuu nchini humo vimekubaliana kuanza rasmi kwa ligi kuu mnamo tarehe 17 mwenzi Juni.



Kwenye taarifa iliyotolewa na tovuti ya BBC imesema kuwa michezo itakayoanza kuchezwa ni ile ya vipolo ambayo ni Aston Villa Vs Sheffield United na Man city Vs Arsenal

Kuhusiana na michezo mingine vilabu vimekubaliana michezo hiyo ianze kupingwa kati ya tarehe 19-22 mwezi Juni

Ikumbukwe kuwa hapo jana vilabu vyote nchini humo vilikubaliana kuanza kwa mazoezi ya pamoja kwa timu ikiwa ni hatua ya mwisho ya kuruhusu ligi kuanza
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad