Polisi Ashtakiwa na Kosa la Kumuua Mmarekani Mweusi Atlanta

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA





Aliyekuwa afisa wa polisi wa Atlanta ambaye alimpiga risasi na kumuua Mmarekani mweusi mwenye umri wa miaka 27, amefunguliwa mashtaka ya kuua.

Maafisa wa sheria mjini humo wametangaza hayo jana, mnamo wakati kisa hicho cha hivi karibuni kikiendelea kuzusha ghadhabu kuhusu mauaji ya Wamarekani weusi mikononi mwa polisi.

Mwendesha mashtaka wa Atlanta Paul Howard amesema polisi huyo Garrett Rolfe hakuwa na sababu yoyote ya kumpiga risasi Rayshard Brooks mgongoni alipokuwa akikimbia, na pia kuendelea kumpiga teke akiwa ameanguka chini na kuvuja damu.

Mauaji ya Brooks mnamo Juni 12, yalijiri takriban wiki tatu baada ya afisa wa polisi wa Minneapolis kusababisha kifo cha Mmarekani mwingine mweusi George Floyd, kisa ambacho kimeendelea kuchochea maandamano ya kupinga ukatili na ubaguzi wa rangi na kutaka mageuzi katika idara ya polisi.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad