Waziri Kigwangalla Atuma Ujumbe Mzito Kwa Idriss Sultan.....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Waziri wa Utalii Hamis Kigwangalla ametaka msanii wa vichekesho nchini Idriss Sultan ajipange na wanasheria kuepuka kurudi jela kutokana na kesi inayomkabili.

Kigwangala ametoa ushauri huo kwenye ujumbe aliotuma kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya ujumbe wa Idriss baada ya kusoka rumande kwa siku kadhaa.

“Mdogo wangu, take heart. Jela ni sunnah kwa muislam…Pambana na kesi tu sasa, jipangeni vizuri na wanasheria wako. Umepata fundisho, likukomaze. Usikate tamaa.” Amesema Kigwangalla.

Ikumbukwe mapema Mei 27, 2020 muigizaji huyo aliachiwa kwa dhamaa baada ya kushikiliwa na jeshi la polisi kwa takribani wiki kutokana na makosa ya kimtandao.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad