Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Aunty Ezekiel Amruka Mwanaume Anayedaiwa Kumpa Ujauzito..."Yule Dogo ni Kaka Yangu Tu"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREKUMEKUWA na wimbi la mastaa mbalimbali hapa Bongo kutodumu na wapenzi au waume wao na kutaka kama kuhalalisha suala la kumwagana.

Aunt Ezekiel ni mmoja wa mastaa wa “tupendane, tumwagane” na hii ameianza tangu mumewe wa kwanza Sunday Dimonte, kufungwa jela kwa skendo ya madawa ya kulevya.

Leo hii staa huyo amefunguka mengi, kuhusiana na maisha yake ya kimapenzi na jinsi anavyoishi kwa sasa na mtoto aliyezaa na mnenguaji Mose Iyobo aitwaye Cookie.

Katika mahojiano hayo, Aunty ameweka wazi mahusiano yake na Msanii Kusah, ambaye aliwahi kuwa na mahusiano na Ruby. Aunty amekanusha tetesi zinazosambaa kuwa yupo kwenye mahusiano na Kusah na kusema kuwa Kusah ni Kaka yake tu.

Post a Comment

0 Comments