Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Breaking: Mwili wa Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kuagwa kwa siku tatu na kuzikwa kijijini kwao julai 29

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin Mkapa utaagwa kwa siku tatu mfululizo kuanzia Julai 26-28 Jijini DSM, na utazikwa siku ya Jumatano katika Kijiji cha Lupaso mkoani Mtwara. 


“Mwili wa Mzee Mkapa utazikwa kijijini kwao Lupaso,Masasi Mkoani Mtwara Jumatano ya wiki ijayo July 29,2020 saa nane mchana, mwili utasafirishwa kwa Ndege Jumanne July 28 mchana baada ya kuagwa DSM, utatua Uwanja wa Nachingwea,Lindi kisha kuelekea Masasi”-MAJALIWA

Post a Comment

0 Comments