7/20/2020

Dk. John Pallagyo Amgalagaza Joshua Nassari Kura Za Maoni CCM Jimbo La Arumeru Mashariki


Aliyekuwa mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia Chadema, Joshua Nassari ameangukia pua katika kura za maoni jimbo hilo ndani ya CCM kwa kushika nafasi ya nne akipata kura 26.

Aliyeibuka mshindi kwenye kura hizo ni mbunge wa sasa anayemaliza muda wake, Dk. John Pallagyo aliyepata kura 536 akifuatiliwa Dan Pallagyo kura 63.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger