Kanye West Njia Panda Kwenye Mbio za Kuutaka Urais wa Marekani


Ukiacha tweets zake ambazo zimejaa ukakasi kuhusu familia yake na mambo kadhaa anayoandika, Kanye West bado yupo njia panda kwenye mbio zake za kuutaka Urais wa Marekani mwaka huu.

Kupitia twitter, Yeezy ameandika kwamba anafikiria kugombea mwaka 2024, na kuacha tafakuri kwamba anahisi watu weusi nchini Marekani watampigia kura Joe Biden? Hivyo aendelee kugombea au aache? Ni swali la mwisho ambalo aliliacha Kanye.

Wakati Kanye ametangaza kugombea Urais, wengi wenye uelewa wa upepo wa siasa walitoa maoni ya kwamba, Kanye ametumwa kutengeneza mazingira ya Trump kushinda kwa sababu atazigawa kura za Biden ambaye pia anatajwa kuja kuzizoa kura za watu weusi That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments